✨ Mfumo Namba #1 wa Invoicing & Billing Tanzania

Tengeneza Ankara na Nukuu za Bei kwa Sekunde Chache!

Rahisisha mahesabu ya biashara yako, tuma ankara zenye chapa (logo) yako kwa wateja kupitia WhatsApp na Barua Pepe, na upokee malipo mtandaoni bila usumbufu.

Haikatakatiki (99.9% Uptime)
WhatsApp & Email Ready
PDF Format za Kisasa
M-Pesa & Bank Integrated
CS

Ankara #INV-2026-004

Tarehe: 06 Oct, 2026 • Mteja: Azam Marine Co.

✓ IMELIPWA (PAID) TZS 1,250,000
Huduma / Bidhaa
Web Application Development
1 Project • TZS 1,000,000
Kodi na Punguzo
VAT (18%) + Punguzo (5%)
Kodi: TZS 180,000
Njia ya Malipo
M-Pesa / Snippe Gateway
Ref: TX-98420184

Hatua 4 Rahisi za Kuanza Matumizi

Hauhitaji utaalamu wowote wa IT. Mfumo wetu umeundwa kufanya kazi kwa urahisi wa hali ya juu.

1

Fungua Akaunti

Sajili biashara yako BURE ndani ya dakika 1 tu bila kuhitaji kadi ya benki.

2

Weka Taarifa Zako

Weka Logo yako, Jina la Biashara, Namba ya TIN na maelezo ya akaunti za benki/mobile money.

3

Tengeneza Ankara

Chagua mteja, weka item za huduma, kisha tuma Ankara (Invoice) au Nukuu (Quote) kwa WhatsApp au Email.

4

Pokea Malipo & Ripoti

Mteja akilipa, status inasomeka 'PAID' kiotomatiki na kupata ripoti sahihi za mapato yako.

Sifa Kuu Zinazofanya Mfumo Wetu Kuwa Bora

Kila zana unayohitaji ili kusimamia ankara, wateja, na mapato ya biashara yako mahali pamoja.

PDF Invoices za Kisasa

Zalisha ankara za PDF zenye nembo, rangi za chapa yako, kodi (VAT), na hesabu sahihi za punguzo papo hapo.

Integration ya Malipo MTn

Wateja wanaweza kulipia ankara mtandaoni kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Benki kupitia Snippe Gateway.

WhatsApp & Email Share

Tuma kiungo cha ankara (public link) au maelezo kwa mteja kupitia WhatsApp au Barua Pepe kwa kubofya mara moja tu.

Ripoti & Uchanganuzi

Pata vielelezo vya picha (charts) na ripoti sahihi za mauzo, ankara zilizochelewa na jumla ya fedha zilizokusanywa.

Nukuu za Bei (Quotes)

Tengeneza Proforma Invoices au Quotes kwa urahisi na uzibadilishe kuwa Invoices kamili kwa kubofya kitufe kimoja.

Usimamizi wa Wateja

Hifadhi taarifa za wateja wako, namba za simu, na barua pepe kwa ajili ya mawasiliano ya haraka ya baadaye.

Clay Solutions Ecosystem

Huduma na Biashara Zetu Zingine

Tunasukuma biashara yako mbele kupitia huduma zetu za kiteknolojia na suluhu za kigijitali za kiwango cha juu.

Web & Mobile App Development

Ujenzi wa tovuti za kisasa, mifumo ya kibiashara (Custom Web Apps) na Mobile Applications za Android na iOS.

Wasiliana Nasi

Cloud Hosting & VPS Servers

Huduma za Cloud Hosting zenye kasi ya juu, Linux VPS, Domain Registration, na usimamizi wa Server kwa biashara.

Pata Suluhu Ya Hosting

IT Support & Data Backup

Ushauri wa IT, Usalama wa Kimtandao (Cybersecurity), na kuweka Hifadhi ya Data (Automated Cloud Backups).

Pata Ushauri

Je, Upo Tayari Kurahisisha Invoicing ya Biashara Yako?

Jiunge leo bure na anza kutengeneza ankara za kisasa na kupokea malipo kwa sekunde chache.